Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Majukumu ya Wanafunzi Katika Utawala wa Shule
  513865
Downloaded   Viewed
Majukumu ya Wanafunzi Katika Utawala wa Shule
Category: Infosheets
Author: HakiElimu  |  Editor: Rakesh Rajani
Publication Details
ISBN-13: 90
Publisher: Hakielimu
Publication date: 2003
Pages: 2
Summary:
Baadhi ya watu wanafikiri kwamba watoto wanatakiwa kuwepo shuleni kwa ajili ya masomo tu na hawapaswi kushiriki katika utawala.Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM) unatambua umuhimu wa wanafunzi kushiriki katika utawala wa shule kupitia Baraza la Wafanyakazi na Baraza la Shule.Chapisho hili linaeleza wanafunzi wanachotakiwa kufanya katika utawala wa shule.

  English  
.pdf, 3.4 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail