Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Elimu Jumuishi Shuleni 2018
  131347
Downloaded   Viewed
Elimu Jumuishi Shuleni 2018
Category: Briefs
Author: HakiElimu  |  Editor: John Kalage
Publication Details
ISBN-13: 22323
Publisher:
Publication date: 2018
Pages: 13
Summary:
HakiElimu inatekeleza Mpango Kazi mpya (2017-2021) ambao pamoja na mambo mengine umejikita katika kuhamasisha uboreshwaji wa mazingira ya kujifunza na kufundisha katika shule jumuishi. HakiElimu ilianza utekelezaji wa Mpango Kazi huu mnamo mwaka 2017 kwa kufanya utafiti juu ya mazingira ya shule jumuishi na hasa kuangalia “namna wanafunzi wenye changamoto za uoni wanavyoshiriki na kujifunza katika shule jumuishi nchini Tanzania’’. Lengo kuu la utafiti lilikuwa ni kutathmini kama mazingira ya shule jumuishi yanakidhi mahitaji ya wanafunzi wenye mahitaji maalum na kama sera na mikakati ya elimu inakidhi mahitaji tofauti ya wanafunzi wakati wa kujifunza na kufundishwa.

  Swahili  
.pdf, 283.3 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail