Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Mwongozo wa Kuwajengea Uwezo Wajumbe
  334778
Downloaded   Viewed
Mwongozo wa Kuwajengea Uwezo Wajumbe
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: HakiElimu
Publication Details
ISBN-13: 978-9987-18-041-7
Publisher:
Publication date: 2012
Pages: 20
Summary:
Elimu ni moja ya vigezo muhimu duniani katika harakati za kumletea binadamu uhuru wa kweli na maendeleo endelevu. Msingi wa elimu huanzia ngazi ya familia, shule za awali na shule za msingi na kuendelea hadi sekondari. Ili kuhakikisha elimu ya msingi inatolewa kwa ufanisi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeunda Kamati ya Shule kuwa chombo rasmi cha kusaidia uendeshaji wa shughuli za kila siku za maendeleo ya elimu katika ngazi ya shule za msingi. Muundo huu unaotokana na Waraka wa Elimu namba 14 wa mwaka 2002 ambao unatoa mwongozo jinsi ya kuunda Kamati za Shule. Waraka huo ulitolewa kabla ya kanuni ya uundaji wa Kamati za Shule iliyotangazwa katika Gazeti la Serikali namba 288 la tarehe 28/2/2002, baada ya Waraka wa Elimu Namba 25 wa mwaka 1978 na ule namba 10 wa mwaka 1995.

  Swahili  
.pdf, 214.4 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail