Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Mwananchi na Maendeleo ya Shule
  153147
Downloaded   Viewed
Mwananchi na Maendeleo ya Shule
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: HakiElimu
Publication Details
ISBN-13: 978-9987-18-045-5
Publisher:
Publication date: 2015
Pages: 28
Summary:
Nani anamiliki shule za umma? Ni serikali au wananchi? Je, sisi kama wananchi na wazazi tunapenda watoto wetu wapate elimu ya namna gani wawapo kati ka shule zetu? Je, tunapenda ziwe za namna gani? Je tunataka zisimamiwe namna gani ili zitoe wanafunzi walio bora? Kwa kiasi fulani haya ni baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na baadhi ya wananchi mara kwa mara bila ya kupewa uzito wa kutosha au kupata majibu sahihi. Kwa kuzingati a ukweli kuwa shule zote za umma ni za wananchi, basi kila mwananchi anawajibika moja kwa moja kushiriki kikamilifu kati ka maendeleo ya shule kwa kutoa mchango wake, kusimamia utoaji wa huduma bora, na kufuati lia kwa karibu kujiridhisha na huduma itolewayo kati ka shule zetu.

  Swahili  
.pdf, 3.5 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail