Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Ahadi za Serikali 2014/2015
  341778
Downloaded   Viewed
Ahadi za Serikali 2014/2015
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: HakiElimu
Publication Details
ISBN-13: XXXXXXX
Publisher:
Publication date: 2014
Pages: 8
Summary:
Kupitia mikutano ya kila mwaka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, serikali imekuwa ikitoa ahadi mbalimbali kupitia mawaziri na manaibu mawaziri kutokana na maswali mbalimbali yanayoulizwa na wabunge. Ahadi na maagizo haya yanayotolewa na viongozi hupaswa kufuatiliwa na wananchi ili kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kikamilifu kwa wananchi wake kwa kuzitekeleza ahadi hizo. Uwajibikaji wa viongozi hupimwa kwa namna wanavyotekeleza ahadi walizotoa kwa wananchi hususani zile zinazogusa maisha yao ya kila siku. Kwa kuzingatia umuhimu huu shirika la HakiElimu limekuwa likifuatilia kila mwaka ahadi mbalimbali za serikali katika sekta ya elimu na kuzichapisha kwa lengo la kuikumbusha serikali kutimiza ahadi zake.

  Swahili  
.pdf, 172.7 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail