Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Mwaka Mmoja wa Matokeo Makubwa Sasa
  341504
Downloaded   Viewed
Mwaka Mmoja wa Matokeo Makubwa Sasa
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: HakiElimu
Publication Details
ISBN-13: XXXXXXX
Publisher:
Publication date: 2014
Pages: 8
Summary:
Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, kwa kiingereza Big Results Now (BRN), ni sehemu ya jitihada za serikali ya Tanzania kuinua uchumi toka nchi yenye uchumi wa chini mpaka nchi yenye uchumi wa kati. Katika kutekeleza mpango huu serikali imeanza na wizara sita: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikiwa ni mojawapo, Wizara zingine ni Kilimo, Maji, Usafi rishaji, Fedha na Nishati.

  Swahili  
.pdf, 312.5 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail