Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Kitabu cha Marafiki wa Elimu 2013
  415225
Downloaded   Viewed
Kitabu cha Marafiki wa Elimu 2013
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: Elizabeth Missokia
Publication Details
ISBN-13: 978-9987-18-038-7
Publisher:
Publication date: 2013
Pages: 32
Summary:
Karibu! Hongera kwa kuwa Rafiki wa Elimu. Wewe ni mmoja wa wanaharakati wengi ambao wanajali elimu na demokrasia Tanzania! Ni wajibu wako kushiriki kikamilifu kuleta mabadiliko! Kitabu hiki kimetengenezwa kwa ajili ya Marafiki wa Elimu kama rejea katika shughuli zao za kila siku. Kinatoa maelezo mafupi kuhusu Harakati za Marafiki wa Elimu ili kupanua uelewa wa walengwa kuhusu historia, madhumuni na uendeshaji wa Harakati hizi. Pia kinatoa maelezo kuhusu haki na wajibu wa Rafiki wa Elimu katika Harakati.

  Swahili  
.pdf, 1.6 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail