Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Juhudi za kuboresha Elimu ya msingi
  450424
Downloaded   Viewed
Juhudi za kuboresha Elimu ya msingi
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: Elizabeth Missokia
Publication Details
ISBN-13: 978-9987-18-039-4
Publisher:
Publication date: 2013
Pages: 32
Summary:
Matatizo katika ubora wa huduma katika nchi yetu yanagusa sekta zote,zikiwemo za kilimo, afya, madini na miundombinu. Wakati serikali ina wajibu wa kupanga, kutekeleza na kusimamia utekelezaji wa mipango yote ya maendeleo, wabunge nao wanao wajibu wa kusimamia na kuhakikisha upangaji bora wa mipango na utekelezaji wake ili mipango hiyo iwe na ufanisi na tija. Wakati tunatambua kwamba kazi ya mbunge jimboni si kuangalia elimu pekee, bali maendeleo kwa ujumla wake katika sekta zote, ni muhimu kukumbushana umuhimu wa elimu katika kuchochea maendeleo ya sekta nyingine zote.

  Swahili  
.pdf, 706.9 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail