Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Uwazi wa Bajeti (OBI) 2012
  452243
Downloaded   Viewed
Uwazi wa Bajeti (OBI) 2012
Category: Briefs
Author: HakiElimu  |  Editor: Elizabeth Missokia
Publication Details
ISBN-13: 333333
Publisher:
Publication date: 2013
Pages: 4
Summary:
Kipimo cha Uwazi wa Bajeti (OBI) Ripoti ya Uwazi wa Bajeti hupima iwapo serikali kuu, katika kila nchi iliyofanyiwa utafiti, hutoa nyaraka nane muhimu za bajeti kwa umma. Utafiti huu pia hupima iwapo taarifa zilizomo katika nyaraka hizo ni za kina, zimetolewa kwa wakati na zenye manufaa. Utafiti huu hutumia vigezo vinavyokubalika kimataifa kupima uwazi wa bajeti kwa kila nchi. Vigezo hivyo vilianzishwa na mashirika ya kimataifa kama vile Shirika la Fedha la Kimataifa ( IMF), Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD), na Shirika la Kimataifa la Ushirika wa Wakaguzi wa Kimataida (INTOSAI).

  Swahili  
.pdf, 542.4 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail