Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Kupaa na Kutunguliwa  Azimio la Arusha
  465978
Downloaded   Viewed
Kupaa na Kutunguliwa Azimio la Arusha
Category: Books
Author: Bashiru,Othaman,Shiv  |  Editor: Bashiru,Othman,Shivj
Publication Details
ISBN-13: 978-9987-9428-27
Publisher:
Publication date: 2013
Pages: 142
Summary:
Kitabu hiki kimeandaliwa na Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere kwa ajili ya kuweka kumbukumbu ya matukio muhimu katika historia ya nchi yetu tangu Uhuru. Kuna nyaraka nne katika kitabu hiki: Azimio la Arusha la 1967, Mwongozo wa 1971, Mwongozo wa 1981 na Maamuzi ya Zanzibar ya 1991, ambayo ni hotuba ya Mzee Ali Hassan Mwinyi. Kwa nini tumechagua nyaraka hizo na sio nyengine? Kwa sababu kila nyaraka ina muhula wa kihistoria wa kuhadithia. Muongo mmoja kati ya 1971 na 1981 ni kipindi cha uzalendo wa hali ya juu, uzalendo wa mrengo wa kushoto, uliozaliwa na itikadi ya Umajumui wa Afrika (Pan-Africanism). Kipindi hiki kilipewa jina rasmi la kipindi cha ‘Ujamaa na Kujitegemea’. Mwongozo wa 1981 ni waraka wa kipekee ambayo inafanya uchambuzi wa miaka 14 ya Azimio kwa mtazamo wa kitabaka,

  Swahili  
.pdf, 2.1 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail