Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
SautiElimu 14
  514156
Downloaded   Viewed
SautiElimu 14
Category: Newsletters
Author: HakiElimu  |  Editor: Rakesh Rajani
Publication Details
ISBN-13: 1821-5076
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2006
Pages: 2
Summary:
Michezo ni muhimu mno.Inajenga afya na ni tiba mbadala lakini zaidi ya hapo,huchangia kuimarisha misingi ya jamii bora,utawala wa sheria,ushirikiano,utu,na haki za binadamu na demokrasia.Toleo hili la SautiElimu linahusu michezo.Kwa nini tunajadili suala la michezo?Sababu kubwa ni kwamba huwezi kuongea kuhusu elimu bora bila kutaja michezo.Wataalamu wa elimu wanasema michezo pia ina nafasi yake katika elimu kama masomo mengine,kwa mfano hisabati au jiografia

  English  
.pdf, 689.5 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail