Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
SautiElimu 13
  514146
Downloaded   Viewed
SautiElimu 13
Category: Newsletters
Author: HakiElimu  |  Editor: Rakesh Rajani
Artist : Marco Tibasima
Publication Details
ISBN-13: 1821-5076
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2006
Pages: 2
Summary:
Harakati za kuboresha elimu zimeleta matunda bayana.Watoto wengi wanaandikishwa kujiunga na shule zetu,walimu zaidi wanaajiriwa,madarasa zaidi yanajengwa pamoja na mambo kadha wa kadha.Hata hivyo,kuna jambo moja la muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito sambamba na mafanikio haya.Nalo ni ulinzi wa ziada na mwamko wa kipekee unaolenga kuhakikisha kuwa wasichana wanapewa nafasi sio tu ya kuandikishwa shule bali pia kuendelea na masomo hadi kuhitimu.Hii ndio mada kuu katika toleo hili la SautiElimu.

  English  
.pdf, 454.4 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail