Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
SautiElimu 12
  514179
Downloaded   Viewed
SautiElimu 12
Category: Newsletters
Author: HakiElimu  |  Editor: Rakesh Rajani
Publication Details
ISBN-13: 1821-5076
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2006
Pages: 2
Summary:
Katika toleo hili la SautiElimu,tumechapisha maoni ya watu mbalimbali.Uhuru wa kila mtu wa kutoa maoni ni jambo la msingi katika demokrasia na haki za binadamu.Ni jambo la kuheshimiwa na kulindwa.Siyo maoni yote yaliyomo humu ndani tunakubaliana nayo.Hata hivyo tunaheshimu na kuyachapisha ili kila mmoja ayasome na kutoa mchango wake.Hii ndio dhana ya uhuru wa watu kutoa mawazo yao.Ibara ya 18 ya katiba ya nchi yetu inahalalisha uhuru huu.

  English  
.pdf, 462.8 KB

Order This Publication
Contact Personal Detail