Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Shajara ya Marafiki wa Elimu
  513885
Downloaded   Viewed
Shajara ya Marafiki wa Elimu
Category: Others
Author: Zenais Matemu  |  Editor: Elizabeth Missokia
Publication Details
ISBN-13: 9987-423-80-9
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2009
Pages: 0
Summary:
Sekta ya elimu ni moja kati ya sekta muhimu sana hapa nchini Tanzania.Yapo mambo mengi yanayohusu elimu ambayo ingefaa Rafiki wa Elimu ayafahamu ili aweze kutambua mwenendo mzima wa masuala ya elimu kwa maana ya changamoto zilizopo na hata mafanikio yaliyokwisha fikiwa katika sekta hiyo. Lengo kuu la kitabu hiki ni kuwawezesha Marafiki wa Elimu kutafakari kuhusu nafasi yao katika kuleta mabadiliko na utetezi katika masuala yahusuyo elimu.Kitabu hiki kitakuwa msaada mkubwa kwa Marafiki wa Elimu katika shughuli zao za kila siku. Kitamuwezesha Rafiki wa Elimu kujifunza na vile vile kunukuu mambo aliyojifunza kama kumbukumbu yake binafsi na hata kwa ajili ya wengine pia.Haki Elimu inafanya kazi kufikia usawa, ubora, haki za binadamu na demokrasia katika elimu kwa kuwezesha jamii kubadili shule na mfumo wa sera za elimu, kuchochea mijadala yenye ubunifu na kuleta mabadiliko, kufanya utafiti yakinifu, kudadisi, kufanya uchambuzi na utetezi na kushirikiana na wadau kuendeleza manufaa ya pamoja na haki za jamii.

  English  
.pdf, 5.2 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail