Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Sera,mikakati safi.......lakini walengwa je?(Policies programs.......but what about the people?)
  478919
Downloaded   Viewed
Sera,mikakati safi.......lakini walengwa je?(Policies programs.......but what about the people?)
Category: Booklets
Author: HakiElimu  |  Editor: Rakesh Rajani
Artist : Raysa Art Designers
Publication Details
ISBN-13: 9987-423-21-3
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2006
Pages: 45
Summary:
Hiki ni kitabu cha nne katika muendelezo wa vitabu vya HakiElimu.Katuni hizi zinatuelimisha na kutuburudisha lakini la muhimu zaidi tunapata changamoto na kutuhamasisha tutoe mchango wetu katika masuala ya maendeleo ya Taifa letu kwa kadri ya uwezo wetu.Wahusika katika katuni ni watundu au wakorofi.Wakati mwingine wanachekesha lakini maneno yao yanabeba ujumbe unaogusa hisia zetu.Mabadiliko ambayo yataleta maendeleo katika nyanja za elimu,haki za binadamu au ustawi wa jamii yatapatikana kwa juhudi zetu wenyewe,hasa kama sisi wananchi wenye muamko tutayajadili na kuchukua hatua.Kitabu hiki kinatumia njia ya ucheshi kuchagia katika shughuli hii muhimu.

  English  
.pdf, 2.5 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail