Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Rehema na wenzake waokoa msitu
  513858
Downloaded   Viewed
Rehema na wenzake waokoa msitu
Category: Booklets
Author: Eric Kalunga  |  Editor: Elizabeth Missokia;Robert Mihayo
Artist : Marco Tibasima
Publication Details
ISBN-13: 9987-423-77-9
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2008
Pages: 36
Summary:
Hali si swali katika kijiji cha kiromo kwani msitu wao uko hatarini kuteketezwa kwa ajili ya maslahi ya wajanja wachache.Makundi mbalimbali katika kijiji wanajadili suala hili katika mitizamo tofauti.Viongozi wa kijiji kwa upande wao wameshaafiki suala hilo kwa jili ya kupitisha ujenzi wa hoteli jambo ambalo pia linaungwa mkono na baadhi ya wanakijiji wachache wasio na upeo mpana wa kufikiri. Ni binti wa umri mdogo tu ambaye bado ni mwanafunzi anaonesha udadisi,ubunifu,uthubutu na ujasiri mkubwa ambao mwisho wake unafanikisha kuokoa msitu na kurejesha hali ya utulivu kijijini.

  English  
.pdf, 3.2 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail