Home - Publications
Publications
Back To Publication List  
Sauti yako isikike
  493443
Downloaded   Viewed
Sauti yako isikike
Category: Books
Author: HakiElimu  |  Editor: Rakesh Rajani
Publication Details
ISBN-13: 9987-423-28-0
Publisher: HakiElimu
Publication date: 2006
Pages: 48
Summary:
Kitabu hiki ni toleo la kwanza la mikusanyiko ya Majarida ya SautiElimu namba moja hadi kumi.Lengo lake ni kuweka pamoja taarifa tulizochapisha katika matoleo yetu 10 ya mwanzo ya jarida la SautiElimu.Hoja nyingi kutoka sehemu mbalimbali nchini za wananchi wa kada zote zimechapishwa.Hii inadhihilisha kwamba watu wakipewa nafasi ya kutoa maoni wanafanya hivyo bila kusita wala kujali gharama za muda wao na za kutuma barua.Mkusanyiko huu pia unaonyesha ni jinsi gani tunavyoweza kujifunza kutoka kwao.

  English  
.pdf, 1.5 MB

Order This Publication
Contact Personal Detail